Tuesday, May 29, 2012

UBATIZO GLORY

Mungu ni mwema sana kwa maisha yetu,sherehe ya kufana ya Ubatizo wa mtoto Gloria Mgonda
iliyofanyka usharikani Mikanjuni Tanga. na kufuatiwa na sherehe fupi nyumbani kwetu Donge kiboi Area.