MWAKA 2011
Katika nyumba yetu ya magamba wakazi wetu wanne wamehitimu Degree ya kwanza na kuagwa na wenzao. Sherehe ilifana na ya mfano katika mtaa wetu wa Coast.
![]() |
![]() |
WAAGWA KATIKA PICHA YA PAMOJA |
![]() | ||||
Wakazi wa Magamba House wafurahia siku yao |
![]() |
Bw.Thomas Mgonda akitoa Zawadi kwa wanaoagwa |
![]() |
![]() |
jirani wa karibu katika Furaha yao.Mtaani kwetu |
No comments:
Post a Comment