Hapa Magamba ni Pazuri kuishi vitu vingi vinapatikana viazi ,mboga zote Ila baridi tu ndio kitu kigumu hapa na vilima vya hapa na pale.Nikiwa hapa Magamba kama mtumishi Nimejaliwa na Mungu kupata plot na kujenga nyumba mbili zenye room 10 kwa Ujumla.Wapendwa wanafunzi wanaishi hapo.
KARIBU KWETU MAGAMBA
Nyumba ya chini yenye milango mitatu ni ya jirani tunayepakana naye.
nyumba yetu ni hizo zenye rangi na mabomba marefu nje.
No comments:
Post a Comment