SEND OFF TAR 29.JUNE 2012 UKUMBI POLISI MESS TANGA
Mungu ni mwema sana katika maisha yetu kila siku.Mpendwa mdogo wetu Elizabeth ametimza sehemu ya majukumu yake kama mtoto wa kike katika familia yetu kwa kutuletea Shemeji.ambapo tar 29.06.2012 tukiwa wote kama familia alituonyesha mpendwa wake na baba (Mjomba) Shewali alimkabidhi rasmi kwa familia ya Kagongo wa Kigoma. Jua huanza kutokea Tanga na machweo Kigoma mwisho wa Reli.
Bwana apewe sifa.
ELIZABETH AKIWA NA MAPAMBE WAKE
![]() |
ELIZABETH AKIWA NA MCHUMBA WAKE AKIMUONYESHA KWA FAMILIA NA NDUGU NA JAMAA |
SHEREHE KWA UJUMLA TANGU NYUMBANI KIBOI
MAMBO YA MISOSI NA KIHENDO
Tunaendelea........................................!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment